Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
I mean no malice to nobody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee mwana unga limited SI alikuwa mwanao kabisa?? 🤓😁1:35 AM Mwanamke haipendezi ukawa na tabia hizi
1.mwizi /Tapeli
2.mjuaji yaani hakuna kitu usichokijua...
3.kutembea na mabwana za watu.
4.unafiki, Gubu,.kutukana hovyo, kujichubua....!.
Salama mkuu za kwako kekueMkuu umeamkaje😝
Njema pia sanaSalama mkuu za kwako kekue
Kwa nini hunenepi😄Njema pia sana
Ameanza tena msamiati😂😝😝 sisi si manabii wa kutafsiri,Huu ni uwoga hebu mtagi, sisi sio waganga wa jadi wa ramli 😂😂😂
Nna utapiamloKwa nini hunenepi😄
Nina dozi ya kunenepeshaNna utapiamlo
Ni nani huyo kaka 😁🤣😁aisee mwana unga limited SI alikuwa mwanao kabisa?? 🤓😁
Kijana niache sitaki bifu na mtu😁😂,Ni nani huyo kaka 😁🤣😁
Kaka mvua hiii kaka huku kigamboni inapiga sanaKijana niache sitaki bifu na mtu😁😂,
Sisi ili nyesha kuanzia jana saa 1 usiku, saa 9 ili kuwepo.Kaka mvua hiii kaka huku kigamboni inapiga sana
Unaenda kula mbuzi na pilau hongera kakaSisi ili nyesha kuanzia jana saa 1 usiku, saa 9 ili kuwepo.
Ilivyo pungua Nika wahi stendi, kuelekea home coz nina mualiko😊
Matembele na nyanya chungu kijana , 😆 🤣, Sema uko mbali, unge jongea tusumbue meno😁Unaenda kula mbuzi na pilau hongera kaka
Werawera🔥Afande whowherewhen? wote tunalinda mageti humu kazi ya shemejiyo manka 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 yamekufikia sasaWerawera🔥
Uko poa😂😂😂😂😂😂 yamekufikia sasa