JamiiForums Usiku wa manane

kuna lijamaa nmeona mahali linachekelea eti mods wamefuta uzi wako πŸ˜†na tangazo ulshatoa kua utafutwa,,nkacheka kmya kmya
Yaani walipolalia ndipo tulipoamkia. Nilisema mapema uzi unafutwa na nikaaga. Anachofurahia nini. Tucheke tu kipenzi hakuna namna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yes bora hukuingilia kipenzi. Matusi ndiyo silaha ya wengi. Ila hayalipi bill so uchungu uko palepale 🀣🀣🀣🀣🀣
namimi nkishaona matusi nakimbia kabisa πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
 
simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine πŸ˜†πŸ˜†unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamlia
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nsha ignore watu wa nne sasa,na sjui wanatokea wapi,,sasa utakuta simjib ila hasira zinanpanda balaaπŸ˜‚πŸ˜‚na ignore naachana nae,,ila bora wali mute coz ile id ilkua inapta na yeyote atakae ni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…