Anhaa mzee unalinda kweli au upo na mawazo biashara hazijaenda sawa .Vijana kazi ya Ulinzi naona imewashinda, hadi Wazee tumeamua kuja kuokoa jahazi 🤗
12:23am
Saa 6 ni usiku wa manane? Au umetia tu sign fake akee🙄00:17
Huo muda ndio tunachukua silaha walinzi ephen_ akee🙂Saa 6 ni usiku wa manane? Au umetia tu sign fake akee🙄
Jana hujalinda ulitia sign ukaenda kulalaHuo muda ndio tunachukua silaha walinzi ephen_ akee🙂
Nililinda ila guard kamanda mkuu hataki tutumie simu lindoniJana hujalinda ulitia sign ukaenda kulala
Anhaa mzee unalinda kweli au upo na mawazo biashara hazijaenda sawa .
Mimi nipo Kuna tukio limetokea kilabuni wakati tunakunywa ulanzi limeninyima Raha na amani kabisa .
Kabisa, hasa ukiwa na majukumu mazito ya KimaishaKuna umri ukifika usingizi nao unajitenga labda
Wazee hatukuwa nyuma kwenye suala la Ulinzi wa Uzi wetu 🤗Wazee mpo?