JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Anhaa mzee unalinda kweli au upo na mawazo biashara hazijaenda sawa .

Mimi nipo Kuna tukio limetokea kilabuni wakati tunakunywa ulanzi limeninyima Raha na amani kabisa .

Nimepigiwa simu na First born wangu huko Mjini, anasema Bibi yenu anaugua Malaria, hivyo nimejikuta na Mimi huku Kijijini naugua automatic 🙌

Unajua sisi Wazee tulioishi miaka mingi na Bibi mmoja, hupelekea kuanza kufanana vitabia. Yaani Bibi akiugua hupelekea Babu naye Augue.

Kuhusu suala lako, angalia hilo tukio sawasawa unaweza kukuta ni utamu wa Ulanzi wenyewe tu ukafanya ukumbuke mbali 😅
 
Back
Top Bottom