🤣🤣🤣Watu hatulali vichwa vinakoroga nyie mnavuta shuka tu, haya Kazi kwenu sasa
Tunachelewa kulala kisha tunawahi kulala.Dah nimeamua kurudi home tuu maana mitaani hapaeleweki muda huu.
Ni wakati wa kushirikiana na kitanda sasaa
May be leo nitakuwepo