JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo nimeshuhudia moja ya road accident hapo njia ya tandika to buza mama na mwanae wamepata ajar ya boda boda na kupoteza Maisha papi papo

Hii dunia hii acha TU yaan ajar za bodaboda ni janga linamaliza watanzania wenzetu.
Daaah! Siku ngumu sana ya leo, taarifa za misiba zimekuwa nyingi mno aisee! sijui kwanini ila tu nusuriwe kwa kweli
 
Back
Top Bottom