Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
humu zipo njemba tu ππππ€£Hivi humu usiku kunakuwaga na mademu?
Duhhumu zipo njemba tu ππππ€£
Tupo wake za watu, Mr anakoroma kama gari bovu mpaka usingizi unakataKama kuna demu yuko online aje inbox
Hata wewe una koroma ni vile ukilala hujijuiTupo wake za watu, Mr anakoroma kama gari bovu mpaka usingizi unakata
Kukoroma kwangu basi kuzuri, hakumzuii Mr kulalaHata wewe una koroma ni vile ukilala hujijui
Dah nimekosa bahati njoo basi inbox now hata kama ni aaubuhiTupo wake za watu, Mr anakoroma kama gari bovu mpaka usingizi unakata
Kumbe we mswahili hiviπ€Tajiri tumepotezana, huu uzi ndiyo uzi pekee unaweza ongea chochote na zaidi ni usiku wa manane. Pia una amani na upendo huu uzi. Udambwi dambwi kama wote tajiri...
π€£π€£π€£πushauri umechelewa sanaa.....shamla π«Hahaha hio ndio aina ya wanawake ambao siwataki.
Ila sikushauri umwache, una mke mzuri sana.