JamiiForums Usiku wa manane

Bwana nilikua na uyu shemeji wenu, ana manyama manyama mzuri ila anakaa Sinza. Aisee.

Matukio ni mengi kanipiga makubwa sana ila ili la mwisho sio kubwa sana ila nadhani ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza.
 
Pole mzee wangu… enhee
 
Basi akaenda. Nikawa nachat nae. Akanipigia ila anaongea kwa kuibia. Nikasema vipi mbona unaongea hivo akasema ni hospital sio vema kiongea vizuri. Uyo rafiki yake alimsindikiza for checkup ya vidonda vya tumbo.
 
Mwanenu nikawasha chuma nikaenda Sinza kwanza. Nikamkuta ndugu yake (binti tu ananijua kidogo, amemaliza chuo) nikampa hi. Namuuliza jidada yupo wp anasema ametoka mida ya saa 8 na rafiki yake x (ambae yeye alisema wameenda nae Muhimbili) wamesema wanaenda beach..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…