Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Good morning Tanzania 📷 sisi huku USA ndio panakucha😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha.. kichwa ikawaka moto.. enheMwanenu nikawasha chuma nikaenda Sinza kwanza. Nikamkuta ndugu yake (binti tu ananijua kidogo, amemaliza chuo) nikampa hi. Namuuliza jidada yupo wp anasema ametoka mida ya saa 8 na rafiki yake x (ambae yeye alisema wameenda nae Muhimbili) wamesema wanaenda beach..
Yeah ..Kumbuka alisema rafiki yake anaumwa ata kula anashindwa vidonda vipo worse.
Kumi na moja hiyo.. hapo moyo uko thump thumpNikasema kudadeq.. fine.. Nacheki iMessage location chuma inasoma mitaa ya Juliana Pub.. dah nikawasha chuma nikaenda nishapanic
Sio. Chai hii mwanangu upo sinza maeneo gani kwanzaNikasema kudadeq.. fine.. Nacheki iMessage location chuma inasoma mitaa ya Juliana Pub.. dah nikawasha chuma nikaenda nishapanic
umefanya jamboo jema MUNGU Kwanzaa🙏🤚Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Aisee … mambo si mambo hapoNikafika Juliana, sasa ata sijui nianzie wapi kumtafuta coz pale ni pakubwa kiasi, ila location inasoma yupo mitaa iyo ila seems amezima data so location inasoma kama last 1hour.. dah nikaskaa nikapiga Sminnorf zangu 2 huku namcheki sijamuona hapo ishafika saa 2 hivi Man U nadhan kashakula chuma zake 2 sijui ile
Mzee inatesa hiyo.. isitoshe Kama umezama ile kinomanoma..Nilikaa nje kwake kuanzia saa 5 hadi saa 7 na nusu hajarudi, hapokei cm, hajibu msg, dah nikaamsha
Mwanangu sio chai hiiNilikaa nje kwake kuanzia saa 5 hadi saa 7 na nusu hajarudi, hapokei cm, hajibu msg, dah nikaamsha
Genius Man .. tulia mwana asemeMwanangu sio chai hii
Kuchapiwa hakuepukiki mzee wa road tripNikarudi geto nikanunua chips jirani nikala kidogo nikameza dawa okay hazikusaidia sana ila nikalala mwanenu