JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwanenu nikawasha chuma nikaenda Sinza kwanza. Nikamkuta ndugu yake (binti tu ananijua kidogo, amemaliza chuo) nikampa hi. Namuuliza jidada yupo wp anasema ametoka mida ya saa 8 na rafiki yake x (ambae yeye alisema wameenda nae Muhimbili) wamesema wanaenda beach..
Kha.. kichwa ikawaka moto.. enhe
 
Nikafika Juliana, sasa ata sijui nianzie wapi kumtafuta coz pale ni pakubwa kiasi, ila location inasoma yupo mitaa iyo ila seems amezima data so location inasoma kama last 1hour.. dah nikaskaa nikapiga Sminnorf zangu 2 huku namcheki sijamuona hapo ishafika saa 2 hivi Man U nadhan kashakula chuma zake 2 sijui ile
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
umefanya jamboo jema MUNGU Kwanzaa🙏🤚
 
Nikafika Juliana, sasa ata sijui nianzie wapi kumtafuta coz pale ni pakubwa kiasi, ila location inasoma yupo mitaa iyo ila seems amezima data so location inasoma kama last 1hour.. dah nikaskaa nikapiga Sminnorf zangu 2 huku namcheki sijamuona hapo ishafika saa 2 hivi Man U nadhan kashakula chuma zake 2 sijui ile
Aisee … mambo si mambo hapo
 
Back
Top Bottom