Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
00:0600:05
Mzee hii .. kukimbia ni ngumuHuu uzi hauwezi kuukimbia, utake usitake.
Lete story .. 👂🦻Okay, naombeni msikilize story yangu fupi ya mwezi wa 8 mwishoni na mwezi wa 9 hadi leo.
Pole mzee wangu… enheeBwana nilikua na uyu shemeji wenu, ana manyama manyama mzuri ila anakaa Sinza. Aisee.
Matukio ni mengi kanipiga makubwa sana ila ili la mwisho sio kubwa sana ila nadhani ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza.
Enhe.. endelea mzee wanguNilidoubt.
Imefika saa 8 nampigia hajapokea. Nikampigia zaidi ya x10 hajapokea. Nikamtext nikasema ikifika saa 11 nakuja kwako Sinza coz utakua umerudi.
So kuanzia saa 8 hadi saa 11 no msg, no call kupiga wala kupokea zangu.
Kwakua tunachat iMessage hafu tulikua tumeshare location nikakumbuka kucheki location, naona inasoma yupo Mlimani city. Dah.