Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Upo level gani? Au unatoa kafala usiku wa manane πUtajiri wangu ushavuka huko level za calculator πΉ
Hahahaha π€£ π π π mkuu mimi nilikuwa naenda chooni kukojoa, naingia chooni tu hivi naskia mtu nyuma ya ukuta anapanda kuruka ukuta, na vishindo vya mtu mwenye kilo zake naviskia kabisa, alafu eti alipofika ukutani ni paka kubwa jeusi π nikaona isiwe tabu3:30AM
Natoka zangu home niende kiwanja, nimepishana na pisi kama 3 zimelewa vibaya mnoo.
Nimeona isije kuwa mtego nimerudi ndani kusikilizia kama sio majambarika.
Hallelujah!!!
Nipo kundi la kina Mo....Upo level gani? Au unatoa kafala usiku wa manane π
Joke
Naomba niajiri Tafadhali ππ€Nipo kundi la kina Mo....
Hiyo ni noma mkuu, paka mtu huyo maana mida yao ndiyo hii sio poa.Hahahaha π€£ π π π mkuu mimi nilikuwa naenda chooni kukojoa, naingia chooni tu hivi naskia mtu nyuma ya ukuta anapanda kuruka ukuta, na vishindo vya mtu mwenye kilo zake naviskia kabisa, alafu eti alipofika ukutani ni paka kubwa jeusi π nikaona isiwe tabu
Kwa sababu unayemoenda nae anampenda mwingine ambaye yeye hampendi03:38 πArusha - Unga Limited
Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
Hahaa π π π hii dunia ina mambo mkuu, yaani nimepiga tochi hivi nakutana macho kwa macho na nyau kubwa, likaruka kwa kishindo afu linakimbia vishindo vya kibinadamu kabisaHiyo ni noma mkuu, paka mtu huyo maana mida yao ndiyo hii sio poa.
Mimi bado nimevunga room kila nikipiga chabo nje nasisimka mwili nimeghairi mazima siendi club tena nimetubu.
Hallelujah!!!
Tatizo unampenda na unaogopa kumpoteza huyo chura mkuu, sikiliza You Better Go by KONDE KIBONGE03:38 πArusha - Unga Limited
Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
03:38 πArusha - Unga Limited
Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
Unawapenda wotee π€£π€£
Tafuta hela kijana acha kung'ang'ania watoto wa watu......03:38 πArusha - Unga Limited
Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
Kwel kabisa mkuuTafuta hela kijana acha kung'ang'ania watoto wa watu......
Ndio ila mmoja ni mke wangu, mwingine ni rafiki yangu ππ€Unawapenda wotee π€£π€£
ππππ bro naona umefanikiwa na jamboKuwa tajiri ni kazi, mtu hupati usingizi kabisa.....bora yenu nyie masikini mnasinzia.
3:11 sijafumba jicho π
Bro binti kiziwi unaota??
Bro from monday naamka kumi na nusu, bye kitanda bye morning glory nitaimiss kwakweli...,ππππ bro naona umefanikiwa na jambo
lako, jana mimi hali ilikuwa tyt.