JamiiForums Usiku wa manane

Madame B unakuja lini dsm!?
acha kumsumbua mummy angu
mbona hawa alikuwa na mwanaume mmoja adamu
wewe uhusiano naye umeanza lini ?
Ni siri yetu hiyo ila mwezi huu nilimfukulia kaburi la miaka ya 2013 huko akasema atanipa maufundi flani flani πŸ˜„πŸ˜„
Yuko dom nataka aje dsm tufanye yetu ramada hotel
Madame B kwahiyo una wanaume wengine mimi naona tuachaneπŸ™„
Hapana, mbona uko peke yako laaziz?
Madame B umesikia nakuacha kwa hiliπŸ™„
Thubutu siachiki mimi.
🀣🀣🀣🀣🀣 Poleee mkuu let's share acha kususa
PSL god ujue nikiachika na huu ushangazi nani atanitaka? Mbona Genius Man ananimudu tu.
Nikiachika ujue nakuja kwako mazimaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…