Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yuko age ngapi??, ni mdogo wako jobless???.Nipo seriously
Ni kuomba tu Kudra za Mungu tu
Ili jambo liwe na kheri
Ni third floor ... 31Yuko age ngapi??, ni mdogo wako jobless???.
Una jua mimi raisi wako wa ma jobless pro max, nime pitia situation nyingi.Ni third floor ... 31
Ni classmates wangu
Ni mtoto wa dini haswa
Mweupe??, intelligence anayo lakini??Ni third floor ... 31
Ni classmates wangu
Ni mtoto wa dini haswa
ππ Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!Una jua mimi raisi wako wa ma jobless pro max, nime pitia situation nyingi.
so wewe ume mzingua classmate wako, halafu mimi Nika fill gape yako eboo.
hebu niheshimu raisi wako eboo!
Akili ndo nyingiiiiiii sanaaaMweupe??, intelligence anayo lakini??
Au nikupe halima Kopwe? Ni WA Tanga yule!Mweupe??, intelligence anayo lakini??
sitaki mdogo wako, nani adumishe mahusiano na ma jobless wenzie??.ππ Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!
Mimi sijapita kwake!
Mimi na hayo mambo! Mbali mbali
Haina kumbwela mbwela, pass her details kule kwenye kikao.Akili ndo nyingiiiiiii sanaaa
Na ametokea familia Bora!
Si mweupe sana.
Mweupe sana ni mtoto wa mwapachu ila katika uwezo wake wa akili Sina uhakika sana
ππ Sawa Mh Rais wa majobless promaxsitaki mdogo wako, nani adumishe mahusiano na ma jobless wenzie??.
In my next life Nita omba angalau niwe hustler ππ€£.
Pass her details, kule.
Imagine mi Sina fuba, nawe huna. Sasa hao wajomba SI wana weza tamani cheo changuππ€£ππ Sawa Mh Rais wa majobless promax
Watakupinduaaaaa πImagine mi Sina fuba, nawe huna. Sasa hao wajomba SI wana weza tamani cheo changuππ€£
Mbona sioni kitu??Watakupinduaaaaa π
Kuwa Mpoleee Mh. Rais πMbona sioni kitu??