JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Basi Mh. Rais wa Majobless Promax
Mimi na Makaburi Ngonyaniiii tukawa Marafiki sana.

Ila shida Moja ilikuwa! Jamaa zangu wakija anawafanyia kazi zao wanapewa na dawa wanapata wanavyotaka!

Mimi nikimuleza shida zangu! Anasema hapana siwezi kukusaidia kabisaaa ... Wewe Hapana!

Nikawa nasema kwanini?

Tukawa tu ni kunywa
Kupeana story za ugangaa!

Siku moja akakichukua kwenda kwenye ziara ya kutembelea wateja wake aliowahi kuwafanyia kazi hasa wale ambao walikuwa na shida ya kupata watoto.

Tulienda kwenye nyumba 15 na Kila nyumba tunatoka na hela na kukuta wamama wamebeba vitoto vyao!

Mimi nabaki kushangaa tu! Ila nafurahi maana tunapata Hela ya pombe jioni
 
Basi siku moja tukawa tunakunywaaa mara gafla ... Makaburi Ngonyaniiii akaanza kuliaa

Kulikoni Mjombaa? Mbona kuliaaaa!

Ama kweli! Mganga hajigangiiii bhana!

Kumbe mke mdogo kichefuchefu! Anamsumbua akili ... Mimi ndo nikageuka Sasa kuwa mpatanishi wa ndoa

Form six hiyo! Ila Pombee bhana 😂
 
Una jua mimi raisi wako wa ma jobless pro max, nime pitia situation nyingi.

so wewe ume mzingua classmate wako, halafu mimi Nika fill gape yako eboo.

hebu niheshimu raisi wako eboo!
😂😂 Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!

Mimi sijapita kwake!

Mimi na hayo mambo! Mbali mbali
 
😂😂 Mh. Rais unataka nikupe mdogo angu? Huyo classmate wangu ninamuamini ni mke Bora sana!

Mimi sijapita kwake!

Mimi na hayo mambo! Mbali mbali
sitaki mdogo wako, nani adumishe mahusiano na ma jobless wenzie??.

In my next life Nita omba angalau niwe hustler 😃🤣.

Pass her details, kule.
 
Back
Top Bottom