Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
03:18
Maisha ni magumu mnoo
Maisha ni magumu mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha nifosi kwa huyu mlinzi na mimiCha asubuhi
HahahahaWacha nifosi kwa huyu mlinzi na mimi
Niko poa.. Bhana mambo si yaligoma😂😂😂nimepata shida sana aseeh, dj nxt time walete taratibuuU hali gani??
the dj right now 😂😆Niko poa.. Bhana mambo si yaligoma😂😂😂nimepata shida sana aseeh, dj nxt time walete taratibuu
Uku ni saa kasoro mkuu, karibu tusogeze mudaNi saa ngapi huko?
Uiseilam haukuwi marekani wala uraya ila idadi ya wahamiaji wa kiisam kama wahamiaji wengine wanaongezaka uraya na marekani. Wakimbizi na wasaka fursa kutoka nchi zenye idadi kubwa ya waislam inaongeza. Pili wazungu hawapendi kuzaa tena hata wakizaa wanaza mmoja au wawili. Huku wahamiaji wakitotoa kama kuku. Kunatafauti kubwa ya uislam kukuwa na waisilam kuongezaka uraya na marekani. Kuongezeka waislam maana yake kuongezeka wahamiaji wa dini hiyo sehemu husika. Wakati kukuwa kwa Islam maana yaki ni kuongezeka kwa watu wanao acha imani zao na kujiunga na imani ya kiilam.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!