JamiiForums Usiku wa manane

Uiseilam haukuwi marekani wala uraya ila idadi ya wahamiaji wa kiisam kama wahamiaji wengine wanaongezaka uraya na marekani. Wakimbizi na wasaka fursa kutoka nchi zenye idadi kubwa ya waislam inaongeza. Pili wazungu hawapendi kuzaa tena hata wakizaa wanaza mmoja au wawili. Huku wahamiaji wakitotoa kama kuku. Kunatafauti kubwa ya uislam kukuwa na waisilam kuongezaka uraya na marekani. Kuongezeka waislam maana yake kuongezeka wahamiaji wa dini hiyo sehemu husika. Wakati kukuwa kwa Islam maana yaki ni kuongezeka kwa watu wanao acha imani zao na kujiunga na imani ya kiilam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…