JamiiForums Usiku wa manane

Asa babe kalala, mie niko macho naogopa.
Najaribu kumkumbatia anasema nifumbe macho πŸ˜“
Basi omba ipige radi moja matata sana ataamka mwenyweumenikumbusha nikiwa mdogo nilikua nalala uvunguni kukwepa mwanga wa radi
 
He!!!
Makubwa!
Uvunguni tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatari basi!!!
Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!
Ila radi zilinitesa sana utoto, sikujua kama ningekuja kuzizoea hivi🀣
 
Na mwanga wa radi kijijini huko ulivyo kuwa unawaka uvunguni nako kulikua hakukaliki!
Ila radi zilinitesa sana utoto, sikujua kama ningekuja kuzizoea hivi🀣
Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…