PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
We mtoto acha woga!Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtoto acha woga!Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Haina sababu ya kuziogopa , madhara yake ni machache mno, tokea hio 96 naogopa radi hadi leo 25 sijawahikukutana na madhara yake ila kusikia tu.Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Ohhhh, basi sawa.Haina sababu ya kuziogopa , madhara yake ni machache mno, tokea hio 96 naogopa radi hadi leo 25 sijawahikukutana na madhara yake ila kusikia tu.
Sure usiziogope.
Mimi naingojea alfajiri tu sasa, na mswaki nishapiga kabisa.Ohhhh, basi sawa.
Ngoja nikabiliane nazo tu.
Hv huna usingizi kweli?
Tisa na robo usiku hii..
Aisee.....😧😧Mimi naingojea alfajiri tu sasa, na mswaki nishapiga kabisa.
Kama wewe upo kwenye bed weka sim pembeni ulale aisee 🤣
Daah!Aisee.....😧😧
Mie niko kitandani ila sina hata lepe la usingizi.
Dah!
Mvua imeshakata.Daah!
Pole utachoka sana pakikucha shughuli zitakapo anza.
Mvua imeisha huko?
Kwetu imekata ila joto hatariMvua imeshakata.
Kumepoa hatari.
Aisee!
Asante, Dodoma tuko shwari!Aisee!
Sisi sijui dhambi nyingi, hamna tofauti na jehanamu.
Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, sijui kwa nini unakosa usingizi kwa utulivu huo.
Pole sana aisee, uta kaa sawa tu , nyakati hazilingani.Asante, Dodoma tuko shwari!
Kuna vitu vinanivuruga kichwani ndio maana mpaka muda huu sipati usingizi.
Yaani kwangu hapa ni kama saa 6 mchana.
Kabisa, nina imani nitakaa sawa tu.Pole sana aisee, uta kaa sawa tu , nyakati hazilingani.
Ukiweza usivizingatie sana kwa sasa.
Naam , lisilo kuua linakuimarisha, kesho likija kama hilo au la nguvu kidogo kuliko hilo hautatetereka maana una mazoezi.Kabisa, nina imani nitakaa sawa tu.
Unajua wakati mwingine unajikuta tu unawaza jambo na linakuwa gumu kukutoka akilini.
Ila napambana nalo kiume.
Asante sana Pendaelli mpwaNaam , lisilo kuua linakuimarisha, kesho likija kama hilo au la nguvu kidogo kuliko hilo hautatetereka maana una mazoezi.
Pole , nakuombea uvuke salama.
Acha tu, imebaki saa moja kufika saa 11, huwezi amini nimelala saa tano nimeamka saa saba hadi sasa.
Pole jamani 😟.Acha tu, imebaki saa moja kufika saa 11, huwezi amini nimelala saa tano nimeamka saa saba hadi sasa.
Nitakinywa tu kahawa, japo na jua itakua siku ngumu.
I wish kujua nini shida haswa! Lakini sio mtindo mzuri sana kwamba usipo pata kitu fulani basi unakuwa na hali fulani , ni kiasi kama unakuwa mtumwa.Pole jamani 😟.
Mie sijalala mchana na usiku ndio huu unaishia.
Yaani mpaka ninywe pombe kali ndio napataga usingizi.
Ila kama sijanywa mambo huwa kama hv, mawazo na no usingizi 🫠.
Nitakuombea, siku yako haitakuwa ngumu mpwa
Ohhhh, sawa kumbe ni ratiba yako ndio inataka hivo.I wish kujua nini shida haswa! Lakini sio mtindo mzuri sana kwamba usipo pata kitu fulani basi unakuwa na hali fulani , ni kiasi kama unakuwa mtumwa.
Siku ukiona kukosa usingizi kumekuwa kwingi jaribu kutumia vidonge vya kukusaidi kulala kwa ushauri wa daktari.
Pole nyingi wewe mimi ka kiasi imekua ni kawaida kwangi hivi, sio leo tu bali ni mara nyingi na siku inaisha salama.
Sio ratiba najikuta tu kama vile wewe leo.Ohhhh, sawa kumbe ni ratiba yako ndio inataka hivo.
Sio siri, nimeshakuwa addicted na pombe, yaani nikitaka nipate usingizi ni mpaka angalau nipate kikali.
Mchana nilikata kali ndogo moja ila ilipofika jioni stimu yote ikayeyuka😅
Kuna wakati nilikuwa nakunywa valium ila sasa Dr. aliniambia valium na pombe utaondoka sasa hv ndipo nilipoamua kuacha