Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ndio, kuna sababu mpwa.Sio ratiba najikuta tu kama vile wewe leo.
Sa mbona changamoto, pombe sio mbaya ila pale inapokufanya kitu fulani kisiwe bila kuitumia ndio ubaya huanza .
Kama haikusumbu unaweza kuendelea ila kama ina kusumbua tafuta namna ya kuondoka hapo, ina wezekana kabisa kama ukiamua, mi nakupa pole mybe kuna sababu ilisababisha mpaka ikiwa hivyo
Najitahidi sikuhizi angalau kidogo naweza pumzika hata mara moja au 2 katika wiki.
Huenda labda na kampani niliyonayo inachangia pia🤔