JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Radi hazizoeleki mwaya.
Mie na utu uzima huu tu ikipiga moja lazima nikimbilie ndani.
Radi si nzuri
Haina sababu ya kuziogopa , madhara yake ni machache mno, tokea hio 96 naogopa radi hadi leo 25 sijawahikukutana na madhara yake ila kusikia tu.
Sure usiziogope.
 
Ohhhh, basi sawa.
Ngoja nikabiliane nazo tu.

Hv huna usingizi kweli?
Tisa na robo usiku hii..
 
Mvua imeshakata.
Kumepoa hatari.
Kwetu imekata ila joto hatari
Screenshot_20250310-033104_Google.jpg
bora isingenyesha aisee
 
Aisee!
Sisi sijui dhambi nyingi, hamna tofauti na jehanamu.

Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, sijui kwa nini unakosa usingizi kwa utulivu huo.
Asante, Dodoma tuko shwari!
Kuna vitu vinanivuruga kichwani ndio maana mpaka muda huu sipati usingizi.
Yaani kwangu hapa ni kama saa 6 mchana.
 
Pole sana aisee, uta kaa sawa tu , nyakati hazilingani.
Ukiweza usivizingatie sana kwa sasa.
 
Kabisa, nina imani nitakaa sawa tu.
Unajua wakati mwingine unajikuta tu unawaza jambo na linakuwa gumu kukutoka akilini.

Ila napambana nalo kiume.
 
Naam , lisilo kuua linakuimarisha, kesho likija kama hilo au la nguvu kidogo kuliko hilo hautatetereka maana una mazoezi.

Pole , nakuombea uvuke salama.
 
Acha tu, imebaki saa moja kufika saa 11, huwezi amini nimelala saa tano nimeamka saa saba hadi sasa.
Nitakinywa tu kahawa, japo na jua itakua siku ngumu.
Pole jamani 😟.
Mie sijalala mchana na usiku ndio huu unaishia.
Yaani mpaka ninywe pombe kali ndio napataga usingizi.
Ila kama sijanywa mambo huwa kama hv, mawazo na no usingizi 🫠.

Nitakuombea, siku yako haitakuwa ngumu mpwa
 
I wish kujua nini shida haswa! Lakini sio mtindo mzuri sana kwamba usipo pata kitu fulani basi unakuwa na hali fulani , ni kiasi kama unakuwa mtumwa.
Siku ukiona kukosa usingizi kumekuwa kwingi jaribu kutumia vidonge vya kukusaidi kulala kwa ushauri wa daktari.

Pole nyingi wewe mimi ka kiasi imekua ni kawaida kwangi hivi, sio leo tu bali ni mara nyingi na siku inaisha salama.
 
Ohhhh, sawa kumbe ni ratiba yako ndio inataka hivo.
Sio siri, nimeshakuwa addicted na pombe, yaani nikitaka nipate usingizi ni mpaka angalau nipate kikali.
Mchana nilikata kali ndogo moja ila ilipofika jioni stimu yote ikayeyuka😅

Kuna wakati nilikuwa nakunywa valium ila sasa Dr. aliniambia valium na pombe utaondoka sasa hv ndipo nilipoamua kuacha
 
Sio ratiba najikuta tu kama vile wewe leo.

Sa mbona changamoto, pombe sio mbaya ila pale inapokufanya kitu fulani kisiwe bila kuitumia ndio ubaya huanza .

Kama haikusumbu unaweza kuendelea ila kama ina kusumbua tafuta namna ya kuondoka hapo, ina wezekana kabisa kama ukiamua, mi nakupa pole mybe kuna sababu ilisababisha mpaka ikiwa hivyo
 
Back
Top Bottom