JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Khaa🤣🤣 basi unajikosesha raha ya kupumzika mwenyewe!
šŸ˜€šŸ˜€ rotation yangu ya kazi ni 2 weeks on two weeks off. Sasa hizi wiki ambazo huwa nipo off huwa nakuwa na muda mwingi wa kupumzika sometimes siku nzima unakuta nimelala tu. Matokeo yake ndio kama hivi unakuta mida kama hii macho kodo.
 
Duhh una raha wengine tunapumzika mchana usiku tunakaa macho kodo! Week inayofuta tu nabadili ratiba narudi kwenye kulala saa 2-3 na siamki mpaka kukuchee!
 
Leo ndio leo, usingizi hakuna...
Kazi zitaenda kweli kwa siku ya leo šŸ¤”

Amaa kweli siku hazifanani
 
Duhh una raha wengine tunapumzika mchana usiku tunakaa macho kodo! Week inayofuta tu nabadili ratiba narudi kwenye kulala saa 2-3 na siamki mpaka kukuchee!
Hakuna hata raha maana siku ambazo nakuwa On hata humu napotea kabisa. Sasa hivi ndio nahisi usingizi ngoja nilale
 
Big up sana kwa walinzi wote ambao mlihakikisha ulinzi upo kwenye nguvu ya 5 kwa 5 na nchi kuwa salama​

šŸ”„ Leo nimeamka si kwa sababu matatizo yameisha, bali kwa sababu bado nina nguvu ya kuyakabili.​

Back
Top Bottom