JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

. 🦁 Maisha hayampi ushindi anayelalamika zaidi, bali anayethubutu kupambana licha ya ugumu.​

 

⚡ Kila asubuhi ni nafasi nyingine ya kuandika historia ambayo jana nilishindwa kuiandika.​

 
kwan mi nimekwambia nina akili za kikubwa🤨 nazitaka hizo hizo za tinga tinga😅😅
🤣🤣😆

NimeSearch You tube sijakuta full movie bali vipande vipande tu , ukifika You tube andika "Tingatinga tales Swahili"



IMG_fd7add0f-4e85-433e-9cbe-caa8ddd0ce69.jpg
 
Back
Top Bottom