JamiiForums Usiku wa manane

Ushamaliza wako sie tunao bembeleza utuwache.

Upo wapi unafanya nini? teh teh muwazinsha thread anauliza sio mimi
Sijamaliza usingizi nilikuwa na kazi kubwa sasa nimemaliza na usingizi hamna.
I think ni kwasababu nimezoea kuwa popo

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
wakuu humu jana wamempiga sana majungu bikira wa kisukuma,ndio namalizia kuangalia msiba wake,jamaa kazikwa aisee,instagram imemuhifadhi kiheshima udongoni,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…