JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

03:25
ABC4D2C7-D435-4D95-9E2F-68EB97683F1B.jpeg
 
Wewe sasa ni something else..🙆🏽‍♀️

So umezika mmoja umebaki na mmoja?
hata uyo alie baki hai uliza Kama hata najua yuko wapi
zaidi zaidi nasikia alikua kwenye ndoa hii mara karukia hii full mitifuano
 
Na kweli😅

Oa kesho weka vzr location nije kuchotq coal sijui nazipeleka wapi!
umekonalia kesho kesho
haya mi najua ni baadae sio kesho
kuhusu kuzipeleka sinasikia hapo DASLAM masoko ni kwa Kila bidhaa Cha msingi ufikishe mzigo tuuh😎
 
Back
Top Bottom