JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Atii Sikufaham weye..
Lakini gunner hawezi kuwa kama wewe na wewe huwezi kuwa gunner... Andastendieee?
Je, wewe unadhani kwa jinsi hii ID imeitikisa jf kwa migongo kadhaa, unahisi jina hilo liko kimasihara hapo?

Hunijui acha vibweka msichana
 
Majukumu ya gunner ni makubwa sana, kuliko makeboz unayotikisa hapa... Na unayoendelea kutikisa
What the hell?

Je, unapata wapi ujasiri wa kuongea shit za namna hii? Hujafunzwa kwenu kuwa na tabia njema kwa strangers? Kwanza jitambulishe tafadhari kabla sijatafuta mafaili yako
 
Back
Top Bottom