JamiiForums Usiku wa manane

Kwanini ukate tamaa.
Sijakata tama nimeongea uhalisia , sio guarantee kuwa lazima ufanikiwe kisa umeteseka au kupambana sana kufeli kupo tu sometimes inatokea regardlessly .

Ila kitu ambacho sikubali ni mtu kukata tamaa na kutokuwa na matumaini mapya , misimamo wangu ni kuendelea na mapambano no matter what.... na hiko ndicho nilichozungumzia kwenye Uzi wangu chini πŸ‘‡ unaosema "Kukataa tamaa ni kubaya zaidi kuliko Kifo "

Mtu akikata tamaa ni sawa na mtu aliyekufa mbaya zaidi yeye anakuwa amekufa ilhali yupo hai.



 
Underworld ni wapi? Naenda ndio, saa 5 ile usilale utalala saa nane sawa?😁
Ndo ofisini kwetu uko,tunakotoa hayo makaa au tuite chini ya udongo ndo imekaa kiunyama au cio?!
aaaah!wewe ndo umepanga kunitelekeza Sasa ,Kama izo brutal si utanywea hapa hapa na weweπŸ˜”
 
Ndo ofisini kwetu uko,tunakotoa hayo makaa au tuite chini ya udongo ndo imekaa kiunyama au cio?!
Kwahiyo kumbe namimi nitakuwa naingia huko ili nife si ndio? Siwezi!
aaaah!wewe ndo umepanga kunitelekeza Sasa ,Kama izo brutal si utanywea hapa hapa na weweπŸ˜”
NaKunywa nikiwa mzigoni, halafu mi sinywi hizo apple cider naziona kama apple punch tu😁

Baadae takuonesha what i do drink, friend😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…