JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mukuje na huku tubadilishane mawazo [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: iw8
Nimesali . ....naangalia series . .life in pieces . ..hahaha . ..beautiful indeed
 
Leo kikao wapi jamani chini ya mbuyu au kwenye ule mwembe mkubwa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Haya jamani,mwenyekiti nimefika naomba kujua idadi kwanza tuanze kikao!
 
Kumekucha Team popooooooooooz! Kwenye kikao cha jana nilisahau kuingiza hii ajenda ya salamu,Naomba tuchangie kwa wale members tu TUTAFUTE SALAMU YETU HAPA! Nadhani ndani ya wiki tutakuwa tumeshapata.......Kwa mimi nashauri hii POPOOOOOOOZ! Ahsanteni...Kumekucha jamani.
 
Back
Top Bottom