Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu.yaani hapa kope hazikutani.nahangaika na pillowKumbe upo singo[emoji15] [emoji15]
Huku ni saa saba kasorobo uckhapa nilipo ni saa nne usiku vipi wewe
11:29 pmKwenu saa ngapi sasa hivi
Lala unono....Jamani mkesha mwema wandugu
1:3111:29 pm
Fanya uoe bwana....maisha gani hayo mkuu?Team popooooooozz! Mpoooooooooooo
Sina hata lepe la usingizi.Kweli kuwa single karaha zake ni usiku.ukigeuka huku unaona ukuta ukigeuka kule unakutana na mtungi wa gesi.Team popoooooooozzz tufarijiane.
Mimi huwa napenda kufikiria vitu ambavyo ni mbali na uwezo wa binadamu . ...huwa vinanipa faraja na kumwamini zaidi MUUMBAJI WA VYOTE . ...Umefikiria mbali sana!
Popooooooz wote chali chali chali
Miguu juuuuuuuuu.
Kuanzia mwenyekiti mpaka
Mjumbe wa nyumba 10 kumi.
Nimebaki POPO wa mapopo mwenyeee.