JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

arsenaly wamenichelewesha.....ndio nasearch ....hapa code za usingizi.......
 
Team popooooooozz! Mpoooooooooooo
Sina hata lepe la usingizi.Kweli kuwa single karaha zake ni usiku.ukigeuka huku unaona ukuta ukigeuka kule unakutana na mtungi wa gesi.Team popoooooooozzz tufarijiane.
Fanya uoe bwana....maisha gani hayo mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: iw8
POPOOOOOOOOOz! Mwaka mpya unakuja....Tuandae mikeka ya kupokea wageni!
 
Popooooooz wote chali chali chali
Miguu juuuuuuuuu.
Kuanzia mwenyekiti mpaka
Mjumbe wa nyumba 10 kumi.
Nimebaki POPO wa mapopo mwenyeee.
 
Back
Top Bottom