Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi kila siku mida hii huwa naupitia kimya kimya.. Sijawahi kukukosa [emoji1]Kama kawa Kama dawa team pooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Muamshe wife akusaidie sasa zamu yake nyie si ni mwili mmoja bwanaNamsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Kama kawa lazima niuchukue ushindi...PopoooooooooooooZ!
Hii inanikumbusha nilipokuwa form 1 tulikuwa twashindana kupiga msuli...Yaani mtu bora aumwe na mbu na asinzie kwenye deski hali ya kuwa haingizi chochote kichwani kuliko kumwacha mshindani wake anakamua...eti atampiga magepu!Tutaona!
Laleni jaman
Okay...Mi nipo job night shift
Okay...
Hongera kwa kujenga taifa...
Hongera sana . ....mimi ndiyo naamka kwenda kulijenga taifa . ..kuwa na siku yenye baraka tele . ..umalize nyumba yako..Leo nimenunua mabati bando kadhaa, grill za madirisha na milango, bindings, top na frame za milango, misumari n.k
Nimemwaga million kadhaa niluzochuma kwa miaka kibao, simuamini mtu wala Polisi Leo jicho jicho nalinda mzigo mwenyewe hapa sites na silaha za jadi mixer na kizungu.., afu kesho mzigo wote unapanda juu na wakupachika madirisha wanapachika..naondoka site peupe!
Mafundi wangu wananiitaga bosi kijana lakini kichomi huyo! Kwa ukauzu kama huu.
03:44 usiku wa manane! Guard iko makini kabisa.
Ngoja wazee wa kazi waje.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Leo nimenunua mabati bando kadhaa, grill za madirisha na milango, bindings, top na frame za milango, misumari n.k
Nimemwaga million kadhaa niluzochuma kwa miaka kibao, simuamini mtu wala Polisi Leo jicho jicho nalinda mzigo mwenyewe hapa sites na silaha za jadi mixer na kizungu.., afu kesho mzigo wote unapanda juu na wakupachika madirisha wanapachika..naondoka site peupe!
Mafundi wangu wananiitaga bosi kijana lakini kichomi huyo! Kwa ukauzu kama huu.
03:44 usiku wa manane! Guard iko makini kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu uzi kila siku mida hii huwa naupitia kimya kimya.. Sijawahi kukukosa [emoji1]