JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kama kawa Kama dawa team pooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Huu uzi kila siku mida hii huwa naupitia kimya kimya.. Sijawahi kukukosa [emoji1]
 
Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Muamshe wife akusaidie sasa zamu yake nyie si ni mwili mmoja bwana
 
Hii inanikumbusha nilipokuwa form 1 tulikuwa twashindana kupiga msuli...Yaani mtu bora aumwe na mbu na asinzie kwenye deski hali ya kuwa haingizi chochote kichwani kuliko kumwacha mshindani wake anakamua...eti atampiga magepu!
 
Leo nimenunua mabati bando kadhaa, grill za madirisha na milango, bindings, top na frame za milango, misumari n.k

Nimemwaga million kadhaa niluzochuma kwa miaka kibao, simuamini mtu wala Polisi Leo jicho jicho nalinda mzigo mwenyewe hapa sites na silaha za jadi mixer na kizungu.., afu kesho mzigo wote unapanda juu na wakupachika madirisha wanapachika..naondoka site peupe!

Mafundi wangu wananiitaga bosi kijana lakini kichomi huyo! Kwa ukauzu kama huu.

03:44 usiku wa manane! Guard iko makini kabisa.
 
Hongera sana . ....mimi ndiyo naamka kwenda kulijenga taifa . ..kuwa na siku yenye baraka tele . ..umalize nyumba yako..
 
Leo nimenunua mabati bando kadhaa, grill za madirisha na milango, bindings, top na frame za milango, misumari n.k

Nimemwaga million kadhaa niluzochuma kwa miaka kibao, simuamini mtu wala Polisi Leo jicho jicho nalinda mzigo mwenyewe hapa sites na silaha za jadi mixer na kizungu.., afu kesho mzigo wote unapanda juu na wakupachika madirisha wanapachika..naondoka site peupe!

Mafundi wangu wananiitaga bosi kijana lakini kichomi huyo! Kwa ukauzu kama huu.

03:44 usiku wa manane! Guard iko makini kabisa.
Ngoja wazee wa kazi waje.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom