Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha inanikumbusha miaka hiyo ndiyo smartphones zimeanza kuenea Tigo walikua na simu inaitwa Huawei Hundred (nikikosea ni ukosefu wa usingizi) tukatumiana sana picha za hivi.
pole siku nyengine weka dawa mapemaMipanya imeniudhi kinoma, na huku mbu kutoka nje
Waache wanyonye damu, wakishiba wataenda kulala wenyewe.Asee mi mwenywe mbu zimekuwa nyingi , halafu shuka fupi
HahahahaWaache wanyonye damu, wakishiba wataenda kulala wenyewe.
Ukiwapa damu yamiguu siwatakuwa wanatembea sana? Wachagulie sehemu nyengineHahahaha
Sasa nimechague wachukue damu ya miguuni asee,
"Usiku utakapo kwisha" by Mbunda Msokile
Hamna asee kaka ngoja niwa wezeshe hawa jamaa, kesho waende kwingineUkiwapa damu yamiguu siwatakuwa wanatembea sana? Wachagulie sehemu nyengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chonde chonde, ukiwapa waambie wasije kwangu. Mimi Na neti ni vitu viwili tofautiHamna asee kaka ngoja niwa wezeshe hawa jamaa, kesho waende kwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] chonde chonde, ukiwapa waambie wasije kwangu. Mimi Na neti ni vitu viwili tofauti
Mkuu......[emoji15]Pooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Mbon umenishangaa[emoji15] [emoji15]Mkuu......[emoji15]
Nipogo tu mkuuMbon umenishangaa[emoji15] [emoji15]