JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Pole baba Tina mimi kumekucha zamani kwangu hivi nimemaliza Bf naondoka kwenda kwenye kibarua ila wanasema septrin zinasaidia sana magonjwa hayo.
Asante niah...ila ilishakata kitambo sana
 
Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
hah hah hah umenichekesha sana mkuu..usiombe ukutwe na hali hii, hata mazingira yawe yanatisha vp itakulazimu uende tu maliwatoni hah hah hatari sana aisee
 
Ntakua nautembelea huu uzi, maana nna changamoto za kupata usingizi, nikilala mf saa nne usiku ntashtuka saa saba au nane hapo ndo mpaka kuchele.
Nami huwa usingizi unapaa sana,au kukosa usingizi wa muda mrefu
 
Back
Top Bottom