Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongeraIceman acha nimsifu Muumbaji maana amenifanyia mambo makuu na ya ajabu! Ni mwema sana sana kwangu!
Saa 8 usikuUsk wa ma8 kwahuko Tanzania auu?
Hahahaha okhongera
sawa lakin tushirikishane alo kufanyia Muumbaji huyo
Uwe na amaniDuh namuwazia bdae landlord kunidai mkwanja mpaka usingizi umekata.haha
TupoMpo jamani
YeahSeries au/?