JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

3:43 AM [emoji15] Usingizi sipati nawaza mialiko ya Pilau hata mmoja sijapata! Duh!
 
[QUOTE="Kichwa Kichafu, post: 21852203, member: 4283 napita maana ni kimya sana.

Usiku mwema wakuu[/QUOTE]
 
Utaalikwa tu! Afu mimi ni Goddess Isis ke
Sawa Mkuu! Ngoja nisubiri mpaka saa 5 asbh bilabila inabidi nijipange kuchukua maamuzi magumu. Unazamia pilau la watu wanakuangalia tu, msosi ukiletwa mara.. "samahani ndugu mgeni hebu tukumbushe hivi wewe ni nani katika familia hii?" [emoji23][emoji23] Noma!
 
Saa tano mbali sana mkuu tafuta option mapema la sivyo utajuta [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha
 
Mkuu acha tu! Nimeshaanza kusaka alternatives! Kuna bidada hapa kitaa ni JF member tunafahamiana, last time nilikutana naye tukasalimiana then tulipoagana akasema... "Tutaonana Kaka nawahi kuandaa futari"! Sasa nimeassume Palipokuwa na futari, leo pana pilau! So nimemtext Whatsapp... "habari ya asubuhi dada, Eid Mubaraka!" naona kasoma text [emoji23] Nadhani kukipambazuka nitakaribishwa otherwise angeshanijibu[emoji12]
Ikifika Saa 1 nikiona kimya natext tena.. "Shikamoo Dada, salamu yangu ya Eid umeiona"!?[emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha umeniacha hoi sana mkuu, sasa mbane huyo huyo mpaka kieleweke [emoji23] [emoji23]
 
Hello PopoooooooooooooooooooooooooZ! Kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
images
 
Back
Top Bottom