James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
3:33 usiku wa kuamkia sikukuu ya iddi....all alone here
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hauko peke yako kampani hii hapa3:33 usiku wa kuamkia sikukuu ya iddi....all alone here
TupoMko wapi
Hahahaha3:43 AM [emoji15] Usingizi sipati nawaza mialiko ya Pilau hata mmoja sijapata! Duh!
Hatari Sheikh!Hahahaha
Utaalikwa tu! Afu mimi ni Goddess Isis keHatari Sheikh!
Nawaza sijui nikazamie wapi leo!?
Sijui nijilipue nianzishe uzi wa kuomba mwaliko?
Nimevurugwa!
Sawa Mkuu! Ngoja nisubiri mpaka saa 5 asbh bilabila inabidi nijipange kuchukua maamuzi magumu. Unazamia pilau la watu wanakuangalia tu, msosi ukiletwa mara.. "samahani ndugu mgeni hebu tukumbushe hivi wewe ni nani katika familia hii?" [emoji23][emoji23] Noma!Utaalikwa tu! Afu mimi ni Goddess Isis ke
Saa tano mbali sana mkuu tafuta option mapema la sivyo utajuta [emoji23] [emoji23]Sawa Mkuu! Ngoja nisubiri mpaka saa 5 asbh bilabila inabidi nijipange kuchukua maamuzi magumu. Unazamia pilau la watu wanakuangalia tu, msosi ukiletwa mara.. "samahani ndugu mgeni hebu tukumbushe hivi wewe ni nani katika familia hii?" [emoji23][emoji23] Noma!
HahahahaSawa Mkuu! Ngoja nisubiri mpaka saa 5 asbh bilabila inabidi nijipange kuchukua maamuzi magumu. Unazamia pilau la watu wanakuangalia tu, msosi ukiletwa mara.. "samahani ndugu mgeni hebu tukumbushe hivi wewe ni nani katika familia hii?" [emoji23][emoji23] Noma!
Mkuu acha tu! Nimeshaanza kusaka alternatives! Kuna bidada hapa kitaa ni JF member tunafahamiana, last time nilikutana naye tukasalimiana then tulipoagana akasema... "Tutaonana Kaka nawahi kuandaa futari"! Sasa nimeassume Palipokuwa na futari, leo pana pilau! So nimemtext Whatsapp... "habari ya asubuhi dada, Eid Mubaraka!" naona kasoma text [emoji23] Nadhani kukipambazuka nitakaribishwa otherwise angeshanijibu[emoji12]Saa tano mbali sana mkuu tafuta option mapema la sivyo utajuta [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha umeniacha hoi sana mkuu, sasa mbane huyo huyo mpaka kieleweke [emoji23] [emoji23]Mkuu acha tu! Nimeshaanza kusaka alternatives! Kuna bidada hapa kitaa ni JF member tunafahamiana, last time nilikutana naye tukasalimiana then tulipoagana akasema... "Tutaonana Kaka nawahi kuandaa futari"! Sasa nimeassume Palipokuwa na futari, leo pana pilau! So nimemtext Whatsapp... "habari ya asubuhi dada, Eid Mubaraka!" naona kasoma text [emoji23] Nadhani kukipambazuka nitakaribishwa otherwise angeshanijibu[emoji12]
Ikifika Saa 1 nikiona kimya natext tena.. "Shikamoo Dada, salamu yangu ya Eid umeiona"!?[emoji23] [emoji23]
ha ha ha viporo havichachi.Wanaolinda ndoa hii ndo mida bhana.. Kumalizia kiporo
[emoji4] [emoji4]
Ulale sio ujaribu.... Tunaotakiwa kuwa macho mida hii ni sisi na kina "the bold"... Si kwa nia mbaya ila ni kwa sababu za kiusalama tu...!!