JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

IMG_2280.JPG
 
Sio kicheche mkuu, kunakuku amejifungua, sasa alivyochizi alikanyaga kifaranga kikawakinalia kwamudakidogo.
Nikashtuka nikatoka kwenda kutatua tazito, ameniuzisana angekuwa hana vitoto vichanga ningeacha maagizo kesho asubui kwamba jioni nikirudi nikute mezani.

Ameniaribia usingizi kijinga.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha halafu kuku akiwa na watoto anakuw mwepesi hata akichinjwa si mtamu.
Mbali na kuku unafuga mifugo gani tena mkuu
 
Hamna zaidi ya kuku, nilikuwa na paka akazingua sikumoja nikamtiakwenye kiloba wakati naenda Shamba nikamtupa katikati ya vichaka huko porini sehemu ambapo hakuna nyumba hata moja sijui anaishije huko saizi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ngoja nijaribu naona kama ukakasi unaanza kuisha machoni.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hamna zaidi ya kuku, nilikuwa na paka akazingua sikumoja nikamtiakwenye kiloba wakati naenda Shamba nikamtupa katikati ya vichaka huko porini sehemu ambapo hakuna nyumba hata moja sijui anaishije huko saizi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Jamani alianza udokozi? Au kujisaidia ndani?
Ila nasikia huwa wananusa.
Kumbe kuku tuu. Pia nimegundua utakuwa mkulima. Big up mkuu
 
Back
Top Bottom