JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Zamani enzi za ... Basi nilikuwa nikienda kuwasalimia "mshikaji" wenzake wakianza kuondoka nilikuwa nalia awabembeleza wasiondoke.
Utasikia tunafuata vocha hapo tunakuja sasa hivi. Mmmhh
hahahaa
sasa ulienda ghetto kufanya nn kama ulikuwa hutak watu watoke.

halaf jamaa walikuwa wakitoka wana kaa muda gani?
 
si miaka nyingi sana imepita, nikiwa on my late teen years to my eary 20s nilikuwa nkimpenda mtu wataniekea dripu [emoji23]. littelary nlikuwa sioni kama kuna watu wengine wana exist zaid yake
So wewe ni 20s now? Bas huko nyuma ilikuwa foolish age. Ha ha ha mahaba niue
 
hahahaa
sasa ulienda ghetto kufanya nn kama ulikuwa hutak watu watoke.

halaf jamaa walikuwa wakitoka wana kaa muda gani?
Mmmh kwani walikuwa wanarudi??
Ukisema na wewe unaondoka wanakuambia usiondoke kabla hatujarudi.
Heheheh hizi memories.. Tho
 
hahahahaa.
daaah! wao walikuwa hawafanyi kama mondy anarud rud eti, sasa mi ntamalizaje mambo.
 
Mimi sijawahi pitia huko..
Kwa nini nijitese boss
aaah, ni kutokana na aina za tabia na mioyo, kuna watu wana miyo ya vyuma, wengine glass, wengine ya mbao, wengine ya jiwe.
so kila mtu huwa ana deal na kupenda ki aina yake. mpaka upitie hizo stages ndio unajigundua uko kwa kundi gani haswa
 
Ila kweli mkuu ila Mimi nipo kwenye jiwe stage hahaha.
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Dah me kila ikifika saa tisa nashtuka, hapa kulala ndy bhas tena. Naingia kila kona kusoma wanavyopost[emoji6][emoji6]

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Ila kweli mkuu ila Mimi nipo kwenye jiwe stage hahaha.
hahaha
inawezekana ila kila mtu huwa na kiboko yake, utajikuta sku unakutana na mwenye moyo wa mbao hadi mnajenga nyumba.

ila kuna wale ndio tabia yao, they dont care a ni wagumuuu, hata mtu akikwambia i love you anakuwa kama anatoa vitisho na ana act hivo pia [emoji23], so aina za watu ndio hizo
 
aaah, ni kutokana na aina za tabia na mioyo, kuna watu wana miyo ya vyuma, wengine glass, wengine ya mbao, wengine ya jiwe.
so kila mtu huwa ana deal na kupenda ki aina yake. mpaka upitie hizo stages ndio unajigundua uko kwa kundi gani haswa
04: 15 kwa sisi walimu hatuna tofauti na wanafunzi.
Kesho kipindi saa 2 [emoji24][emoji24][emoji24].
Asante kwa mkesha mkuu sasa ngoja nilazimishe usingizi
 
Tiririka baba nakuona nakuona..
hahaha
inawezekana ila kila mtu huwa na kiboko yake, utajikuta sku unakutana na mwenye moyo wa mbao hadi mnajenga nyumba.

ila kuna wale ndio tabia yao, they dont care a ni wagumuuu, hata mtu akikwambia i love you anakuwa kama anatoa vitisho na ana act hivo pia [emoji23], so aina za watu ndio hizo
 
hahaha
inawezekana ila kila mtu huwa na kiboko yake, utajikuta sku unakutana na mwenye moyo wa mbao hadi mnajenga nyumba.

ila kuna wale ndio tabia yao, they dont care a ni wagumuuu, hata mtu akikwambia i love you anakuwa kama anatoa vitisho na ana act hivo pia [emoji23], so aina za watu ndio hizo
Wee Mimi mgumu na ninajua Ku ignore nashukuru Mungu. Nikiona kitu kinanitesa nakitafutia kasoro hadi nakipuuza.
 
Back
Top Bottom