Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
hahahaaZamani enzi za ... Basi nilikuwa nikienda kuwasalimia "mshikaji" wenzake wakianza kuondoka nilikuwa nalia awabembeleza wasiondoke.
Utasikia tunafuata vocha hapo tunakuja sasa hivi. Mmmhh
sasa ulienda ghetto kufanya nn kama ulikuwa hutak watu watoke.
halaf jamaa walikuwa wakitoka wana kaa muda gani?