JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hahaha
halaf ule mpango wa kuangalia movie pamoja tu utekeleze bhana.

i hope umeshinda salama Ney
Yeah namshukuru Mungu kwakweli, shida ni kwamba usiku hakuna usingiz mchana kazi nyingi basi ni kuzeeka tuu kabla ya umri best, hatupati afya kabisa
 
Yeah namshukuru Mungu kwakweli, shida ni kwamba usiku hakuna usingiz mchana kazi nyingi basi ni kuzeeka tuu kabla ya umri best, hatupati afya kabisa
aaah
naona usha ni bestzone mapemaa kabsa. skubali.

pole sana, but kama una hisi hali inakusumbua wacheki wataalam, mie nakosa usingizi ila na enjoy
 
Back
Top Bottom