JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hahaha
eeh sisi si unajua twalala jicho moja kimachale machale
jana bhana Neybright kanilaza macho hakuwa kwa mood nzuri nlipo ondoka
nikashindwa kulala then nikarud siku mkuta
afande ulikuw usiku mrefu sana jana
Neybright jana alipitiwa tu kidogo ila nadhani leo utakuwa nae vya kutosha afande.

Pole sana afande kwa siku ya jana
 
Kubwa ya nini sio wote wanapenda hayo mandingo jirani basi tu watu wamekariri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jiraniiiii!
si kweli sema mtu anakuwa ana ipa pass tuu kwa kuwa kuna ither factors
sana sana money
 
Sasa nyie wenyewe hamkunipa ushirikiano,
Huyo mwenzio nilimpigia hakupokea baadae akanitext sorry nipo kwa doctor nikamwambia basi nipe contact za Manga akajibu Manga hayupo usijisumbue kumtafuta, embu sema ndugu yangu ningefanya nini mimi? Mlaumu nduguyo
Khaa mimi sipo tena mmm huyu wivu mpaka kakazake umempa nini nilikuwepo tuuu mimi
 
Sasa nyie wenyewe hamkunipa ushirikiano,
Huyo mwenzio nilimpigia hakupokea baadae akanitext sorry nipo kwa doctor nikamwambia basi nipe contact za Manga akajibu Manga hayupo usijisumbue kumtafuta, embu sema ndugu yangu ningefanya nini mimi? Mlaumu nduguyo
sasa mam
hata kunitetea kwa ndugu yangu jaman!!
nilijua ulivo skia naumwa hukwenda
 
Back
Top Bottom