Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Neybright jana alipitiwa tu kidogo ila nadhani leo utakuwa nae vya kutosha afande.hahaha
eeh sisi si unajua twalala jicho moja kimachale machale
jana bhana Neybright kanilaza macho hakuwa kwa mood nzuri nlipo ondoka
nikashindwa kulala then nikarud siku mkuta
afande ulikuw usiku mrefu sana jana
Pole sana afande kwa siku ya jana