JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hahaha
nincho mkubali shem ana ishi kwa principles na huwa hazivunji
but my lady usiwasikilize hao watu wengine huwa ni waongoo tu
Okey honey
Always i trust you, sitawasikiliza tena japo baadhi walitaka kuuteka moyo, acha niwe mkweli walijipanga jamani mistari yenye vina ilitaka kunivutia kwa upweke niliokuwanao shukuru tuu nakupenda unless otherwise ungenikosa mpz moyo ulichoka jamani [emoji6]
 
Yani kukupa tumaini vyote vile sijahusika kwwli wataka nionekanaje?
 
Okey honey
Always i trust you, sitawasikiliza tena japo baadhi walitaka kuuteka moyo, acha niwe mkweli walijipanga jamani mistari yenye vina ilitaka kunivutia kwa upweke niliokuwanao shukuru tuu nakupenda unless otherwise ungenikosa mpz moyo ulichoka jamani [emoji6]
uzuri najua huwa una intelligency kubwa na tumeamua wenyewe kuridhiana mamie ake, ila umenitisha hapo umesema walileta mistari ya vina [emoji23]

nigechelewa kdogo tuu nigekula mweleka uskute
 
Nimemuona jinsi alivyolainika kwa furaha na hataki hata maelezo ya ufafanuzi. Hongera zake bwana shemeji.
Kaka kupenda ugonjwa maelezo mengine ukipewa yatakuumiza ni bora kutokuyajua maana uwezo wa kumuacha sina kwanini nitese nafsi yangu? I love him so much and he know that what should i do mybrother? Let it go
 
Back
Top Bottom