JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Guys naomba niwaage hali sio nzuri kabisa
Niwatakie usiku mwema nyote
Mylove iceman 3D
Myshem Manga L
Mybrother Ngoda95
Uwe na usiku mwema pia, usisahau kusali kushukuru kwa siku iliyoisha na kujikabidhi mikononi mwa Bwana usiku huu.

Omba Kibali kwake Mueza wa yote na endelea kumuuliza aliye juu kuhusiana na Shemeji.
 
Nahitaji support yake kubwa kwa familia, so lazima nijue yupo wapi? Yupo na familia or yupo na mimi au yupo na wewe
hahaha
c'moon! he is your brother he is with you 100%
the family is with you
and am with you, we shall all be together when we are with you. so yeye yupo na mimi as long as mimi nipo na wewe.

each one of us will have our own parts for you.
 
Kuhusu makinikia msimamo uko pale pale kwamba si ruksa kuchimbwa na kuchenjuliwa kabla kampuni hiyo hatujaipa kibali cha Uchimbaji Wa Huo Mgodi.

Hiyo ni family principal nami nitaisimamia daima utekelezaji wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huruhusu mdogo wako ajaribu vyombo kabla ya kuvitumia bro?
 
Back
Top Bottom