JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!


!
!
Kabinti haka nimekabembeleza wee ;do kanapata usingizi mda Huu.
 
Ina maana wote humu ndani chali?
Kweli naweza vua nguo nikawanga hapa na nusionekane.
 
Back
Top Bottom