JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmmmh tatizo langu mtu akiniuzi muda mfupi kabla ya kulala huwa nakosa usingizi kabisa,
Na almost kila siku muda mfupi kabla ya kulala anatokea mtu ananiudhi
Hapo nafikir ni counselling ndio inaweza kukusaidia na sio valium.
Nachelea kuliongelea kwa kina kwa sababu sijalijua tatizo halisi. Natumai umenielewa
 
Pole sana mydear, ila hizo dawa sio nzuri ukizizoea huwezi kulala mpaka uzinywe hata wataalam wenyewe wanasema, mi naona ungejitahid tuu utatue tatizo ili uweze kulala
Mfundishe ule ufundi au mletw huku ila unikumbushe mana nshasahau
 
Back
Top Bottom