Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Karibu dingimtotoTupo[emoji113]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu dingimtotoTupo[emoji113]
Asanteeh..!! Kumbe nawe ni member wa kukeshaKaribu dingimtoto
Siku moja moja kama hivi nikiwa sehemu kama sijalalaAsanteeh..!! Kumbe nawe ni member wa kukesha
Bas sawa usiku mwema,Siku moja moja kama hivi nikiwa sehemu kama sijalala
Lala unono dingimtotoBas sawa usiku mwema,
Me ngoja nilale naona kitanda kinaniita
[emoji144] [emoji99] [emoji99]Lala unono dingimtoto
Hapo nafikir ni counselling ndio inaweza kukusaidia na sio valium.Mmmmh tatizo langu mtu akiniuzi muda mfupi kabla ya kulala huwa nakosa usingizi kabisa,
Na almost kila siku muda mfupi kabla ya kulala anatokea mtu ananiudhi
Mbona mashangao tenaaaaHaaaa
IRON LADY!!!!
Mida ya wanga hii watoto weshalalaMie mwenyeji weweee
Kwani sie kuku?Mumelala
Hamna huko njoo uchukue hukuDaaah hivi valium bado zinauzwa pharmacy?
Mimi sija agwa wewe ndo utuambie yupo wapi?Sijui mwenzangu labda alimuaga jamaa yake Manga
Eti kuna nini?Ahahha ngoja Manga akija atuambie mpaka we hajakuaga
Uchochezi huu penat haikabwi mkuu[emoji112] [emoji112]
Mfundishe ule ufundi au mletw huku ila unikumbushe mana nshasahauPole sana mydear, ila hizo dawa sio nzuri ukizizoea huwezi kulala mpaka uzinywe hata wataalam wenyewe wanasema, mi naona ungejitahid tuu utatue tatizo ili uweze kulala