salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,854
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia mkuu,utaamka unanukia perfume ya maviMm nimelala ugenini sasa jamaa niliyepewa kulala naye anajamba ile mbaya na kukoroma cwez kumwambia coz nipo kwa watu kijijin, nataman kukuchr nirudi zangu dsm, najua mtafikia hospital kwasababu hii hari haijawahi kumuacha mtu salama. Vitanda tofauti lakin cha moto nakiona.[emoji134][emoji134]
Shukrani ya punda. Ungeenda guest house ulale peke yako.Mm nimelala ugenini sasa jamaa niliyepewa kulala naye anajamba ile mbaya na kukoroma cwez kumwambia coz nipo kwa watu kijijin, nataman kukuchr nirudi zangu dsm, najua mtafikia hospital kwasababu hii hari haijawahi kumuacha mtu salama. Vitanda tofauti lakin cha moto nakiona.[emoji134][emoji134]
Wakwavi utawajua tu.Nafunga getiiiiiii
Nimeacha makusudi kukutafuta.Hahaa naona umenmiss afu hujanitafuta we kidudu mtu
Nakumiss sana.hahahahahahaha
Aaa wapi amfungie kivipi wakati nilikuwa naye janaRafiki angu stunter anakufungia sana nn?
Tayari, jana nilipojaribu kulala vibaka wakapiga baruti kwa jirani yangu leo nawasubiria na panga langu hooohHivi uck bado eeeeeh
Nauliza tu
Mtakatifu Ivuga wapi leo?
Jesus is my saviour and a friend
Kashaacha kulia?Mtoto wa jirani analia mpk nimeamka sijui napataje tena usingizi masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah wapi nanalia balaa alafu mama nae soon atalia pia maanaKashaacha kulia?
Nenda kawange sasa unafanyaje humu??