JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mm nimelala ugenini sasa jamaa niliyepewa kulala naye anajamba ile mbaya na kukoroma cwez kumwambia coz nipo kwa watu kijijin, nataman kukuchr nirudi zangu dsm, najua mtafikia hospital kwasababu hii hari haijawahi kumuacha mtu salama. Vitanda tofauti lakin cha moto nakiona.[emoji134][emoji134]
Vumilia mkuu,utaamka unanukia perfume ya mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimelala ugenini sasa jamaa niliyepewa kulala naye anajamba ile mbaya na kukoroma cwez kumwambia coz nipo kwa watu kijijin, nataman kukuchr nirudi zangu dsm, najua mtafikia hospital kwasababu hii hari haijawahi kumuacha mtu salama. Vitanda tofauti lakin cha moto nakiona.[emoji134][emoji134]
Shukrani ya punda. Ungeenda guest house ulale peke yako.
 
Hivi uck bado eeeeeh
Nauliza tu
Mtakatifu Ivuga wapi leo?

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom